MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA UJERUMAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Ujeruman nchini Tanzania, Klaus Peter Brandes, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake, nchini. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ujeruman nchini Tanzania, Klaus Peter Brandes, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment