Sunday, 22 September 2013

ANGALIA ZA MAPOKEZI YA MWENYETI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA MH BULEMBO

  Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa Bw Majura Abdallah Bulembo[kulia] akiteta jambo na Kigogo wa Jumuiya ya wazazi mkoa wa Morogoro jana kwenye uwanja wa shule ya Msingi mwembesongo

  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro lnnocent Kalogeris ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini  



 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Fikiri Juma[kushoto] akibadilishana mawazo na mmoja wa makada wa CCM 

 Viongozi wa  CCM mkoa wa Morogoro wakiteta jambo 
 Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro Alli lssa Ally[kushoto] akimueleza jambo mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa Bw Bulenga 


 Kikundi cha ngoma cha Sultan .com kikitoa burudani 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...