Saturday 26 July 2014

ANGALIA PICHA ZA MAZISHI YA MKEWA MBUNG WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI

 Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh  Innocent Kalogeris  kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.   
 Marehemu Elizabeth Kapoloma enzi za Uhai wake




Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo amewaongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika Mke wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh lnocenti Kalogeris watu mbali mbali wakiwemo wabunge,wakuu wa mikoa wa staafu na watu mashuhuli wamefulika nyumbani kwa mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro CCM BOFYA KWA PICHA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...