| Kuwasili Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Magharibi. |
| Kama kawaida kwanza Kusaini kitabu cha wageni. |
| Agenda ni Serikali Mbili na Muungano Daima. |
| Kufungua Shina la CCM Kinuni. |
| Kufungua Shina la CCM Dole. |
| Mkutano wa Hadhara Magogoni, Mkoa wa Magharibi |
| Ngoma za kienyeji kwanza |
| Wananchi wakiwa na furaha baada ya hotuba kali sana ya MWenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa Mh. Bulembo. |
| Kuomba Dua baada ya mkutano from left: Le Mutuz + Mh. Bulembo + Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mh. Sadifa + Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi. |
No comments:
Post a Comment