Friday, 28 June 2013

Pinda akutana na Rais Mtendaji wa STATOIL na Mkurungenzi wa Benki ya Dunia.

IMG_0491
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania, Burundi na Uganda, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMG_0479
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Lars Christian Rais Mtendaji wa STATOIL kampuni ambayo imegundaua gesi katika maji ya bahari yenye kina kirefu katika eneo la Mtwara, Bungeni mjini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...