Ndege aliyokuja nayo Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili nchini leo. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa akishuka baada ya kuwasili.
Rais wa Jakaya Kikwete akizungumza na mgeni wake Rais wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa mara baada ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili nchini leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake wakati nyimbo za taifa zikipigwa.




No comments:
Post a Comment